STORY HII ITAKULIZA MACHOZI.... Mama Mmoja Huko Haiti Aliunguliwa na Nyumba Yake Na Hakufanikiwa Kutoka akiwa na Mtoto wake. Akaamua Kwenda Dirishani, Akamtoa MWANAYE NJE [KAMA UNAVYOONA PICHANI] na Yeye Akajitoa AFE, Na Aliteketea Mpaka Kufa Lakini mwanaye Alipona.

Comments

Popular posts from this blog

snake kill lion

Lion vs Man - Real Fight